Judges 9:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliokuwa katika mnara wa Shekemu waliposikia habari hizo, walikimbilia kwenye ngome ya nyumba ya mungu aliyeitwa El-berithi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kusikia jambo hilo, watu wote katika mnara wa Shekemu wakaingia kwenye ngome ya hekalu la El-Berithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha watu wote waliokaa katika ile buruji ya Shekemu waliposikia habari hiyo wakaingia ndani ya ngome ya nyumba ya El-berithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliokuwa katika mnara wa Shekemu waliposikia habari hizo, walikimbilia kwenye ngome ya nyumba ya mungu aliyeitwa El-berithi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kusikia jambo hili watu wote katika mnara wa Shekemu, wakaingia kwenye ngome ya hekalu la El-Berithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kusikia jambo hili watu wote katika mnara wa Shekemu, wakaingia kwenye ngome ya hekalu la El-Berithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha watu wote waliokaa katika ule mnara wa Shekemu waliposikia habari hizo wakaingia ndani ya ngome ya nyumba ya El-berithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliokuwa katika mnara wa Shekemu waliposikia habari hizo, walikimbilia kwenye ngome ya nyumba ya mungu aliyeitwa El-berithi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote waliokaa katika mnara wa Sikemu walipoyasikia wakajificha shimoni mle nyumbani mwa mungu wao wa agano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha watu wote waliokaa katika ile buruji ya Shekemu waliposikia habari hiyo wakaingia ndani ya ngome ya nyumba ya El-berithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote waliokuwa katika munara wa Sekemu waliposikia habari hiyo, wakakimbilia kwenye chumba cha ndani cha nyumba ya mungu aliyeitwa Eli-Beriti.