Judges 9:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki akaambiwa kuwa watu wote waliokuwa kwenye mnara wa Shekemu wamejikusanya pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki aliposikia kuwa wamekusanyika huko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki aliambiwa ya kuwa watu hao wote wa buruji ya Shekemu wamekutana pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki akaambiwa kuwa watu wote waliokuwa kwenye mnara wa Shekemu wamejikusanya pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki aliposikia kuwa wamekusanyika huko,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki aliposikia kuwa wamekusanyika huko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki aliambiwa ya kuwa watu hao wote wa mnara wa Shekemu wamekusanyika pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki akaambiwa kuwa watu wote waliokuwa kwenye mnara wa Shekemu wamejikusanya pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki alipopata habari, ya kuwa wote waliokaa katika mnara wa Sikemu wamekusanyika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki aliambiwa ya kuwa watu hao wote wa buruji ya Shekemu wamekutana pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki alipata habari kwamba watu wote waliokuwa kwenye munara wa Sekemu wamejikusanya pamoja.