Judges 9:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Abimeleki akaenda Thebesi, akauzingira na kuuteka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye Abimeleki akaenda Thebesi na kuuzingira kwa jeshi na kuuteka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Abimeleki alipokwenda Thebesi, akapanga kinyume cha Thebesi na kuutwaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Abimeleki akaenda Thebesi, akauzingira na kuuteka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye Abimeleki akaenda Thebesi na kuuzingira kwa jeshi na kuuteka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye Abimeleki akaenda Thebesi na kuuzingira kwa jeshi na kuuteka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Abimeleki alipokwenda Thebesi, akauzingira na kuutwaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Abimeleki akaenda Thebesi, akauzingira na kuuteka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Abimeleki akaenda Tebesi, akapiga makambi kule Tebesi, kisha akauteka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Abimeleki alipokwenda Thebesi, akapanga kinyume cha Thebesi na kuutwaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Abimeleki akaenda Tebesi, akazunguka muji ule na kuuteka.