Judges 9:52 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki aliufikia mnara na kuushambulia, kisha, aliukaribia mlango wa mnara autie moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki akaja kwenye ule mnara na kuushambulia. Lakini alipokaribia kwenye ingilio la mnara ili kuuchoma kwa moto,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki akaiendea hiyo buruji na kupigana nayo; naye akaukaribia mlango wa buruji ili auteketeze kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki aliufikia mnara na kuushambulia, kisha, aliukaribia mlango wa mnara autie moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki akaja kwenye ule mnara na kuushambulia, lakini alipokaribia kwenye ingilio la mnara ili kuuchoma kwa moto,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki akaja kwenye ule mnara na kuushambulia, lakini alipokaribia kwenye ingilio la mnara ili kuuchoma kwa moto,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki akauendea huo mnara na kupigana nao; naye akaukaribia mlango wa mnara ili auteketeze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki aliufikia mnara na kuushambulia, kisha, aliukaribia mlango wa mnara autie moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki alipofika penye mnara huo kupiga vita huko, akaukaribia mlango wa mnara, auchome moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki akaiendea hiyo buruji na kupigana nayo; naye akaukaribia mlango wa buruji ili auteketeze kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akafika kwenye munara na kuushambulia. Kisha, akakaribia mulango wa munara autie moto.