Judges 9:53 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mwanamke mmoja akatupa jiwe la juu la kusagia, akamponda Abimeleki kichwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia kwa kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwanamke mmoja akabwaga jiwe la kusagia la juu, nalo likampiga Abimeleki kichwani, na kulivunja fuvu la kichwa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mwanamke mmoja akatupa jiwe la juu la kusagia, akamponda Abimeleki kichwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia juu ya kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia juu ya kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwanamke mmoja akabwaga jiwe la kusagia la juu, nalo likampiga Abimeleki kichwani, na kulivunja fuvu la kichwa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mwanamke mmoja akatupa jiwe la juu la kusagia, akamponda Abimeleki kichwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mwanamke mmoja alipomtupia Abimeleki kichwani pake jiwe la sago, likakivunja kichwa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwanamke mmoja akabwaga jiwe la kusagia la juu, nalo likampiga Abimeleki kichwani, na kulivunja fuvu la kichwa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke mumoja akatupa jiwe la kusagia, akamuponda Abimeleki kichwa.