Judges 9:55 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walipoona kwamba Abimeleki amekufa, wakaondoka na kurudi kila mmoja nyumbani kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli walipoona kuwa Abimeleki amekufa, kila mtu akaenda nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hapo watu wa Israeli walipoona ya kuwa Abimeleki amekufa, wakaondoka wakaenda kila mtu mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walipoona kwamba Abimeleki amekufa, wakaondoka na kurudi kila mmoja nyumbani kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli walipoona kuwa Abimeleki amekufa, kila mtu akaenda nyumbani kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli walipoona kuwa Abimeleki amekufa, kila mtu akaenda nyumbani kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hapo watu wa Israeli walipoona ya kuwa Abimeleki amekufa, wakaondoka wakaenda kila mtu mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walipoona kwamba Abimeleki amekufa, wakaondoka na kurudi kila mmoja nyumbani kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, kijana wake alipomchoma upanga, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hapo watu wa Israeli walipoona ya kuwa Abimeleki amekufa, wakaondoka wakaenda kila mtu mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walipoona kwamba Abimeleki amekufa, wakaondoka na kurudi kila mumoja kwake.