Judges 9:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mzeituni ukajibu, ‘Mnadhani naweza kuacha shughuli yangu ya kuzalisha mafuta ambayo huthaminiwa sana na miungu na wanadamu niende kujisumbua kuitawala miti?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini mzeituni ukaijibu, ‘Je, niache kutoa mafuta yangu ambayo kwake miungu na wanadamu huheshimiwa, ili nikatawale miti?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huo mzeituni ukaiambia, Je! Niache mafuta yangu, ambayo kwangu mimi watu wamheshimu Mungu na wanadamu, ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mzeituni ukajibu, ‘Mnadhani naweza kuacha shughuli yangu ya kuzalisha mafuta ambayo huthaminiwa sana na miungu na wanadamu niende kujisumbua kuitawala miti?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini mzeituni ukaijibu, ‘Je, niache kutoa mafuta yangu ambayo kwayo miungu na wanadamu huheshimiwa, ili nikawe juu ya miti?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini mzeituni ukaijibu, ‘Je, niache kutoa mafuta yangu ambayo kwake miungu na wanadamu huheshimiwa, ili nikawe juu ya miti?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huo mzeituni ukaiambia, Je! Niache mafuta yangu, ambayo kwangu mimi watu wamheshimu Mungu na wanadamu, ili niende nikayumbayumbe juu ya miti?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mzeituni ukajibu, ‘Mnadhani naweza kuacha shughuli yangu ya kuzalisha mafuta ambayo huthaminiwa sana na miungu na wanadamu niende kujisumbua kuitawala miti?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mchekele ukaiambia: Niache kuzaa mafuta, nayo ndiyo, wanayoniheshimia Mungu na watu? Nitawezaje kwenda kuning'inia juu ya miti?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huo mzeituni ukaiambia, Je! Niache mafuta yangu, ambayo kwangu mimi watu wamheshimu Mungu na wanadamu, ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini muzeituni ukajibu: ‘Munazani ninaweza kuacha shuguli yangu ya kuzalisha mafuta ambayo yanaheshimiwa sana na miungu na wanadamu niende kujisumbua kuitawala miti?’