Lamentations 1:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu aliwakataa askari walionilinda, alitangaza wakati maalumu wa kuniadhibu kuwaponda vijana wangu wa kiume. Aliwaponda kama katika shinikizo watu wangu wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Bwana amewakataa mashujaa wote walio kati yangu; ameagiza jeshi dhidi yangu kuwaponda vijana wangu. Katika shinikizo lake la kukamulia zabibu Bwana amemkanyaga Bikira Binti Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amenitia mikononi mwao, Ambao siwezi kupingamana nao. Bwana amewafanya mashujaa wangu wote Kuwa si kitu kati yangu; Ameita mkutano mkuu kinyume changu Ili kuwaponda vijana wangu; Bwana amemkanyaga kama shinikizoni Huyo bikira binti Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu aliwakataa askari walionilinda, alitangaza wakati maalumu wa kuniadhibu kuwaponda vijana wangu wa kiume. Aliwaponda kama katika shinikizo watu wangu wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita wote walio kati yangu, ameagiza jeshi dhidi yangu kuwaponda vijana wangu wa kiume. Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga Bikira Binti Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita wote walio kati yangu, ameagiza jeshi dhidi yangu kuwaponda vijana wangu wa kiume. Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga Bikira Binti Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana amenitia mikononi mwao, Ambao siwezi kupingamana nao. Bwana amewafanya mashujaa wangu wote Kuwa si kitu kati yangu; Ameita mkutano mkuu kinyume changu Ili kuwaponda vijana wangu; Bwana amemkanyaga kama shinikizoni Huyo bikira binti Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu aliwakataa askari walionilinda, alitangaza wakati maalumu wa kuniadhibu kuwaponda vijana wangu wa kiume. Aliwaponda kama katika shinikizo watu wangu wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanguvu wangu Bwana akawatupa wote, waondoke kwangu; akaita wengi, wanikusanyikie wawaponde wavulana wangu, mwanamwali binti Yuda Bwana akamkanyaga kamulioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana amenitia mikononi mwao, Ambao siwezi kupingamana nao. Bwana amewafanya mashujaa wangu wote Kuwa si kitu kati yangu; Ameita mkutano mkuu kinyume changu Ili kuwaponda vijana wangu; Bwana amemkanyaga kama shinikizoni Huyo bikira binti Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe aliwakataa waaskari walionilinda, alitangaza wakati kamili wa kuniazibu kuwaponda vijana wangu wanaume. Aliwaponda kama katika kikamulio, watu wangu wa Yuda.