Lamentations 1:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Uwapatilize kwa ajili ya uovu wao wote. Uwatende kama ulivyonitenda mimi kwa sababu ya makosa yangu yote. Nasononeka sana kwa maumivu na moyo wangu unazimia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Uovu wao wote na uje mbele zako; uwaadhibu vikali kama ulivyoniadhibu kwa sababu ya dhambi zangu zote. Kulia kwangu kwa uchungu ni kwingi na moyo wangu umedhoofika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huo uovu wao wote Na uje mbele zako wewe; Ukawatende wao kama ulivyonitenda mimi Kwa dhambi zangu zote; Kwa maana mauguzi yangu ni mengi sana, Na moyo wangu umezimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Uwapatilize kwa ajili ya uovu wao wote. Uwatende kama ulivyonitenda mimi kwa sababu ya makosa yangu yote. Nasononeka sana kwa maumivu na moyo wangu unazimia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Uovu wao wote na uje mbele zako; uwashughulikie wao kama vile ulivyonishughulikia mimi kwa sababu ya dhambi zangu zote. Kulia kwangu kwa uchungu ni kwingi na moyo wangu umedhoofika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Uovu wao wote na uje mbele zako; uwashughulikie wao kama vile ulivyonishughulikia mimi kwa sababu ya dhambi zangu zote. Kulia kwangu kwa uchungu ni kwingi na moyo wangu umedhoofika.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huo uovu wao wote Na uje mbele zako wewe; Ukawatende wao kama ulivyonitenda mimi Kwa dhambi zangu zote; Kwa maana mauguzi yangu ni mengi sana, Na moyo wangu umezimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Uwapatilize kwa ajili ya uovu wao wote. Uwatende kama ulivyonitenda mimi kwa sababu ya makosa yangu yote. Nasononeka sana kwa maumivu na moyo wangu unazimia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mabaya yao yote na yatokee usoni pako, uwafanyizie, kama ulivyonifanyizia kwa ajili ya mapotovu yangu yote! Kwani kupiga kite kwangu ni kwingi, nao moyo wangu huugua tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huo uovu wao wote Na uje mbele zako wewe; Ukawatende wao kama ulivyonitenda mimi Kwa dhambi zangu zote; Kwa maana mauguzi yangu ni mengi sana, Na moyo wangu umezimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaazibu kwa ajili ya uovu wao wote. Uwatendee kama ulivyonitendea mimi, kwa sababu ya makosa yangu yote. Ninaugua sana kwa maumivu na moyo wangu unazimia.