Lamentations 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, kwani Mwenyezi-Mungu ameutesa kwa sababu ya makosa mengi. Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zake wamekuwa mabwana zake, watesi wake wana amani. Mwenyezi Mungu amemletea huzuni kwa sababu ya dhambi zake nyingi. Watoto wake wameenda uhamishoni, wamekuwa mateka mbele ya adui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watesi wake wamekuwa kichwa, Adui zake hufanikiwa; Kwa kuwa Bwana amemtesa Kwa sababu ya wingi wa makosa yake; Watoto wake wadogo wamechukuliwa mateka Mbele yake huyo mtesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, kwani Mwenyezi-Mungu ameutesa kwa sababu ya makosa mengi. Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zake wamekuwa mabwana zake, watesi wake wana raha. BWANA amemletea huzuni kwa sababu ya dhambi zake nyingi. Watoto wake wamekwenda uhamishoni, mateka mbele ya adui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zake wamekuwa mabwana zake, watesi wake wana raha. bwana amemletea huzuni kwa sababu ya dhambi zake nyingi. Watoto wake wamekwenda uhamishoni, mateka mbele ya adui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watesi wake wamekuwa kichwa, Adui zake hufanikiwa; Kwa kuwa BWANA amemtesa Kwa sababu ya wingi wa makosa yake; Watoto wake wadogo wamechukuliwa mateka Mbele yake huyo mtesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, kwani Mwenyezi-Mungu ameutesa kwa sababu ya makosa mengi. Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wausongao wako juu, adui zake wanafanikiwa, kwani Bwana ameutia majonzi kwa ajili ya mapotovu yake mengi, wachanga wake wakatekwa na kuhamishwa mbele yao wawasongao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watesi wake wamekuwa kichwa, Adui zake hufanikiwa; Kwa kuwa BWANA amemtesa Kwa sababu ya wingi wa makosa yake; Watoto wake wadogo wamechukuliwa mateka Mbele yake huyo mtesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, maana Yawe ameutesa kwa sababu ya makosa yake mengi. Watoto wake wanapelekwa katika uhamisho.