Lamentations 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka; wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho. Bila nguvu waliwakimbia watesi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fahari zilizokuwa zake zimeondoka kutoka kwa Binti Sayuni. Wakuu wake wako kama ayala ambaye hapati malisho, wakiwa dhaifu wamekimbia mbele ya aliyewakimbiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo binti Sayuni Enzi yake yote imemwacha; Wakuu wake wamekuwa kama ayala Wasioona malisho; Nao wamekwenda zao hawana nguvu Mbele yake anayewafuatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka; wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho. Bila nguvu waliwakimbia watesi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fahari yote imeondoka kutoka kwa Binti Sayuni. Wakuu wake wako kama ayala ambaye hapati malisho, katika udhaifu wamekimbia mbele ya anayewasaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fahari yote imeondoka kutoka kwa Binti Sayuni. Wakuu wake wako kama ayala ambaye hapati malisho, katika udhaifu wamekimbia mbele ya anayewasaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye huyo binti Sayuni Enzi yake yote imemwacha; Wakuu wake wamekuwa kama ayala Wasioona malisho; Nao wamekwenda zao hawana nguvu Mbele yake anayewafuatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka; wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho. Bila nguvu waliwakimbia watesi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wake wote umemtoka yeye binti Sioni, wakuu wake wakawa kama kulungu wasioona malisho, wakaenda pasipo nguvu mbele yao wawakimbizao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo binti Sayuni Enzi yake yote imemwacha; Wakuu wake wamekuwa kama ayala Wasioona malisho; Nao wamekwenda zao hawana nguvu Mbele yake anayewafuatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wote wa watu wa Sayuni umetoweka; wakubwa wake wamekuwa kama kulungu wasiokuwa na malisho. Waliwakimbia watesi wao bila nguvu.