Lamentations 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yerusalemu ulitenda dhambi mbaya, ukawa mchafu kwa dhambi zake. Wote waliousifia wanaudharau, maana wameuona uchi wake. Wenyewe wapiga kite na kujificha kwa aibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yerusalemu ametenda dhambi sana kwa hiyo amekuwa najisi. Wote waliomheshimu wanamdharau, kwa maana wameuona uchi wake. Yeye mwenyewe anapiga kite na kugeukia mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yerusalemu amefanya dhambi sana; Kwa hiyo amekuwa kama kitu kichafu; Wote waliomheshimu wanamdharau, Kwa sababu wameuona uchi wake; Naam, yeye anaugua, Na kujigeuza aende nyuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yerusalemu ulitenda dhambi mbaya, ukawa mchafu kwa dhambi zake. Wote waliousifia wanaudharau, maana wameuona uchi wake. Wenyewe wapiga kite na kujificha kwa aibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yerusalemu ametenda dhambi sana kwa hiyo amekuwa najisi. Wote waliomheshimu wanamdharau, kwa maana wameuona uchi wake, yeye mwenyewe anapiga kite na kugeukia mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yerusalemu ametenda dhambi sana kwa hiyo amekuwa najisi. Wote waliomheshimu wanamdharau, kwa maana wameuona uchi wake. Yeye mwenyewe anapiga kite na kugeukia mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yerusalemu amefanya dhambi sana; Kwa hiyo amekuwa kama kitu kichafu; Wote waliomheshimu wanamdharau, Kwa sababu wameuona uchi wake; Naam, yeye anaugua, Na kujigeuza aende nyuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yerusalemu ulitenda dhambi mbaya, ukawa mchafu kwa dhambi zake. Wote waliousifia wanaudharau, maana wameuona uchi wake. Wenyewe wapiga kite na kujificha kwa aibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yerusalemu umekosa kweli, kwa hiyo ukawa tapisho, wote walioutukuza wakaubeza, kwani waliuona, ulipokuwa uchi, nao unapiga kite kwa kurudi nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yerusalemu amefanya dhambi sana; Kwa hiyo amekuwa kama kitu kichafu; Wote waliomheshimu wanamdharau, Kwa sababu wameuona uchi wake; Naam, yeye anaugua, Na kujigeuza aende nyuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji Yerusalema ulitenda zambi kubwa, ukakuwa muchafu kwa ajili ya zambi zake. Wote waliousifia wanauzarau, maana wameuona uchi wake. Muji wenyewe unaugua na kujificha kwa ajili ya haya.