Lamentations 2:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikuambie nini ee Yerusalemu? Nikulinganishe na nini? Nikufananishe na kitu gani ili niweze kukufariji, ee Siyoni uliye mzuri? Maafa yako ni mengi kama bahari. Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? Nikulinganishe na nini, ee Binti Yerusalemu? Nitakufananisha na nini, ili nipate kukufariji, ee Bikira Binti Sayuni? Jeraha lako lina kina kama bahari. Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikusawazishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikuambie nini ee Yerusalemu? Nikulinganishe na nini? Nikufananishe na kitu gani ili niweze kukufariji, ee Siyoni uliye mzuri? Maafa yako ni mengi kama bahari. Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? Nikulinganishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nitakufananisha na nini, ili nipate kukufariji, Ee Bikira Binti Sayuni? Jeraha lako lina kina kama bahari. Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? Nikulinganishe na nini, ee Binti Yerusalemu? Nitakufananisha na nini, ili nipate kukufariji, ee Bikira Binti Sayuni? Jeraha lako lina kina kama bahari. Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikulinganishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikuambie nini ee Yerusalemu? Nikulinganishe na nini? Nikufananishe na kitu gani ili niweze kukufariji, ee Siyoni uliye mzuri? Maafa yako ni mengi kama bahari. Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikutolee ushuhuda gani? Nikufananishe na nini, binti Yerusalemu? Nikulinganishe na nini, nikutulize moyo, mwanamwali binti Sioni? Kwani vunjiko lako ni kubwa kama bahari, atakayekuponya ni nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikusawazishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikuambie nini, ee Yerusalema? Nikulinganishe na nini? Nikufananishe na kitu gani kusudi niweze kukufariji, ee Sayuni uliyekuwa muzuri? Maangamizi yako ni mengi kama bahari, ni nani atakayekuponyesha?