Lamentations 2:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuta zako, ee mji wa Siyoni, zimlilie Mwenyezi-Mungu! Machozi na yatiririke kama mto mchana na usiku! Lia na kuomboleza bila kupumzika!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mioyo ya watu inamlilia Bwana. Ee ukuta wa Binti Sayuni, machozi yako na yatiririke kama mto usiku na mchana; usijipe nafuu, macho yako yasipumzike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mioyo yao ilimlilia Bwana; Ee ukuta wa binti Sayuni! Machozi na yachuruzike kama mto Mchana na usiku; Usijipatie kupumzika; Mboni ya jicho lako isikome.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuta zako, ee mji wa Siyoni, zimlilie Mwenyezi-Mungu! Machozi na yatiririke kama mto mchana na usiku! Lia na kuomboleza bila kupumzika!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mioyo ya watu inamlilia Bwana. Ee ukuta wa Binti Sayuni, machozi yako na yatiririke kama mto mchana na usiku; usijipe nafuu, macho yako yasipumzike
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mioyo ya watu inamlilia Bwana. Ee ukuta wa Binti Sayuni, machozi yako na yatiririke kama mto usiku na mchana; usijipe nafuu, macho yako yasipumzike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mioyo yao ilimlilia Bwana; Ee ukuta wa binti Sayuni! Machozi na yachuruzike kama mto Mchana na usiku; Usijipatie kupumzika; Mboni ya jicho lako isikome.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuta zako, ee mji wa Siyoni, zimlilie Mwenyezi-Mungu! Machozi na yatiririke kama mto mchana na usiku! Lia na kuomboleza bila kupumzika!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mioyo yao ikamlilia Bwana: Ninyi kuta za binti Sioni, churuzisheni machozi mchana na usiku kama ni mto! Usijipatie pumziko! Mboni ya jicho lako isinyamaze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mioyo yao ilimlilia Bwana; Ee ukuta wa binti Sayuni! Machozi na yachuruzike kama mto Mchana na usiku; Usijipatie kupumzika; Mboni ya jicho lako isikome.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Sayuni, umulilie Yawe! Machozi yatiririke kama muto muchana na usiku! Lia na kuomboleza bila kupumzika!