Lamentations 2:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewaalika kama kwenye sikukuu maadui zangu walionitisha kila upande. Katika siku ya hasira yako ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliyetoroka au kunusurika. Wale niliowazaa na kuwalea adui zangu wamewaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama ulivyoita siku ya karamu, ndivyo ulivyoagiza mapigo dhidi yangu kila upande. Katika siku ya hasira ya Mwenyezi Mungu hakuna yeyote aliyekwepa au kupona; wale niliowatunza na kuwalea, adui yangu amewaangamiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeziita kama katika siku ya mkutano wa makini; Hofu zangu zije pande zote; Wala hapana hata mmoja aliyepona wala kusalia Katika siku ya hasira ya Bwana; Hao niliowabeba na kuwalea Huyo adui yangu amewakomesha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewaalika kama kwenye sikukuu maadui zangu walionitisha kila upande. Katika siku ya hasira yako ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliyetoroka au kunusurika. Wale niliowazaa na kuwalea adui zangu wamewaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama ulivyoita siku ya karamu, ndivyo ulivyoagiza hofu kuu dhidi yangu kila upande. Katika siku ya hasira ya BWANA hakuna ye yote aliyekwepa au kupona; wale niliowatunza na kuwalea, adui yangu amewaangamiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama ulivyoita siku ya karamu, ndivyo ulivyoagiza hofu kuu dhidi yangu kila upande. Katika siku ya hasira ya bwana hakuna yeyote aliyekwepa au kupona; wale niliowatunza na kuwalea, adui yangu amewaangamiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeziita kama katika siku ya mkutano wa makini; Hofu zangu zije pande zote; Wala hapana hata mmoja aliyepona wala kusalia Katika siku ya hasira ya BWANA; Hao niliowabeba na kuwalea Huyo adui yangu amewakomesha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewaalika kama kwenye sikukuu maadui zangu walionitisha kila upande. Katika siku ya hasira yako ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliyetoroka au kunusurika. Wale niliowazaa na kuwalea adui zangu wamewaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawaita wote walionitia woga, watoke pande zote, kama ni siku ya mkutano, lakini ilikuwa siku ya makali ya Bwana, napo hapo hawakuwako walioona pa kuponea wala pa kukimbilia, nao, niliowalea na kuwakuza, adui wakawamaliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeziita kama katika siku ya mkutano wa makini; Hofu zangu zije pande zote; Wala hapana hata mmoja aliyepona wala kusalia Katika siku ya hasira ya BWANA; Hao niliowabeba na kuwalea Huyo adui yangu amewakomesha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewaalika kama kwenye sikukuu waadui zangu walionitisha kila upande. Katika siku ya hasira yako, ee Yawe, hakuna aliyetoroka au kubakia. Wale niliowazaa na kuwalea, waadui zangu wamewaangamiza.