Lamentations 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alinifukuza njiani mwangu, akanilemaza na kuniacha mkiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ameniburuta kutoka njiani, akanirarua na kuniacha bila msaada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amezigeuza njia zangu, na kunirarua-rarua; Amenifanya ukiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alinifukuza njiani mwangu, akanilemaza na kuniacha mkiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ameniburuta kutoka katika njia, akanirarua na kuniacha bila msaada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ameniburuta kutoka njia, akanirarua na kuniacha bila msaada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amezigeuza njia zangu, na kuniraruararua; Amenifanya ukiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alinifukuza njiani mwangu, akanilemaza na kuniacha mkiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia zangu akazipoteza, akaninyafua, akaniweka mahali palipo peke yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amezigeuza njia zangu, na kunirarua-rarua; Amenifanya ukiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alinifukuza katika njia yangu, akanirarua na kuniacha ukiwa.