Lamentations 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amenichoma viuno Kwa mishale ya podo lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amenichoma viuno Kwa mishale ya podo lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iliyokuwa podoni mwake akaipiga, inichome mafigo
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amenichoma viuno Kwa mishale ya podo lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alinichoma ndani ya moyo kwa mishale, kutoka katika kifuko chake.