Lamentations 3:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayakerezesha meno yangu na kuyaumisha vijiwe, akanigaagaza majivuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae katika majivu.