Lamentations 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema: Nguvu zangu zimepotea pamoja na kingojeo changu cha kumngojea Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimewaza: Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Yawe limetoweka.