Lamentations 3:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumbuka mateso yangu, na msiba wangu, Pakanga na nyongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, ni kuchungu kama nyongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumbuka mateso yangu, na msiba wangu, Pakanga na nyongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukumbuke ukiwa wangu na wasiwasi wangu, nikilishwa machungu, nikinyweshwa yenye sumu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumbuka mateso yangu, na msiba wangu, Pakanga na nyongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kunanipa uchungu na sumu.