Lamentations 3:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya upendo mkuu wa Mwenyezi Mungu, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya upendo mkuu wa BWANA hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu ya upendo mkuu wa bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Ni upole wake Bwana, tusipomalizika, kwani huruma zake hazikuisha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wa Yawe haukomi, huruma zake hazina mwisho.