Lamentations 3:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeiambia nafsi yangu, “Mwenyezi Mungu ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeiambia nafsi yangu, “BWANA ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeiambia nafsi yangu, “ bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fungu langu ni Bwana! ndivyo, roho yangu isemavyo: kwa hiyo nitamngojea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ndiye sehemu yangu, hivyo nitamuwekea tumaini langu.