Lamentations 3:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwema kwa wale wanaomtumaini, na kwa yule anayemtafuta;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huwawia mwema wamngojeao nao wamtafutao kwa roho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni muzuri kwa wanaomutegemea, kwa wote wanaomutafuta.