Lamentations 3:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni vema mtu autarajie wokovu wa Bwana Na kumngojea kwa utulivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inafaa kuvumilia na kuungojea wokovu wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni vizuri kwa mutu kungojea kwa utulivu wokovu unaotoka kwa Yawe.