Lamentations 3:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Mwenyezi Mungu ameiweka juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na akae peke yake awe kimya, kwa maana BWANA ameiweka juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na akae peke yake awe kimya, kwa maana bwana ameiweka juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na akae peke yake na kunyamaza kimya, kwani Bwana ndiye aliyemtwika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri kwa mutu kukaa peke yake na kimya, mambo mazito yanapomupata kutoka kwa Mungu.