Lamentations 3:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa huleta huzuni, ataonesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akimtia mtu majonzi atamhurumia tena, kwani upole wake ni mwingi.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa atatufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena, kadiri ya wingi wa wema wake.