Lamentations 3:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kuamuru kitu kifanyike Mwenyezi-Mungu asipopanga iwe hivyo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kuamuru kitu kifanyike Mwenyezi-Mungu asipopanga iwe hivyo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kuamuru kitu kifanyike Mwenyezi-Mungu asipopanga iwe hivyo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani awezaye kusema neno, likawapo, Bwana asipoliagiza?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kusema kusudi kitu kifanyike ikiwa Yawe asipoamuru ikuwe hivyo?