Lamentations 3:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona anung'unika mwanadamu aliye hai Mtu akiadhibiwa kwa dhambi zake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanadamu ye yote aliye hai alalamike wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona anung'unika mwanadamu aliye hai Mtu akiadhibiwa kwa dhambi zake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu hununia nini siku zote za kuwapo? Kila mtu na ayanunie makosa yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona anung’unika mwanadamu aliye hai Mtu akiadhibiwa kwa dhambi zake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini mutu anungunike ikiwa ameazibiwa kwa ajili ya zambi zake?