Lamentations 3:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umejizungushia wingu zito, sala yeyote isiweze kupenya humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unajifunika mwenyewe kwa wingu, ili pasiwe na ombi litakaloweza kupenya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umejifunika nafsi yako kwa wingu, Maombi yetu yasipite.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umejizungushia wingu zito, sala yeyote isiweze kupenya humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unajifunika mwenyewe kwa wingu ili kwamba pasiwe na ombi litakaloweza kupenya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unajifunika mwenyewe kwa wingu, ili pasiwe na ombi litakaloweza kupenya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umejifunika nafsi yako kwa wingu, Maombi yetu yasipite.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umejizungushia wingu zito, sala yeyote isiweze kupenya humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukajivika wingu, likufunike, malalamiko yasikufikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umejifunika nafsi yako kwa wingu, Maombi yetu yasipite.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umejifunika wingu kusudi maombi yoyote yasipite.