Lamentations 3:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho yangu yabubujika mito ya machozi kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jicho langu lachuruzika mito ya maji Kwa ajili ya uvunjifu wa binti ya watu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho yangu yabubujika mito ya machozi kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jicho langu lachuruzika mito ya machozi Kwa sababu ya kuharibiwa kwa binti zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho yangu yabubujika mito ya machozi kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yangu huchuruzika vijito vya maji kwa ajili ya mavunjiko yao walio wazaliwa wa ukoo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jicho langu lachuruzika mito ya maji Kwa ajili ya uvunjifu wa binti ya watu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yangu yanabubujika mito ya machozi kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu.