Lamentations 3:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi Mwenyezi Mungu atazame chini kutoka mbinguni na kuona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Bwana atakapoangalia Na kutazama toka mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hadi BWANA atazame chini kutoka mbinguni na kuona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hadi bwana atazame chini kutoka mbinguni na kuona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata BWANA atakapoangalia Na kutazama toka mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka Bwana achungulie toka mbinguni, ayaone.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata BWANA atakapoangalia Na kutazama toka mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mpaka Yawe kutoka kule mbinguni aangalie chini na kuona.