Lamentations 3:52 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walio adui zangu bila sababu Wameniwinda sana kama ndege;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale ambao walikuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walio adui zangu bila sababu Wameniwinda sana kama ndege;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wameniwinda kama ndege wale wanichukiao bure tu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walio adui zangu bila sababu Wameniwinda sana kama ndege;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimewindwa kama ndege na hao wanaonichukia bila sababu.