Lamentations 3:58 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Umenitetea katika kisa changu ee Mwenyezi-Mungu, umeyakomboa maisha yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, ulichukua shauri langu, ukaukomboa uhai wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana umenitetea mateto ya nafsi yangu; Umeukomboa uhai wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Umenitetea katika kisa changu ee Mwenyezi-Mungu, umeyakomboa maisha yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Bwana, ulichukua shauri langu, ukaukomboa uhai wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Bwana, ulichukua shauri langu, ukaukomboa uhai wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA umenitetea katika kisa cha nafsi yangu; Umeukomboa uhai wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Umenitetea katika kisa changu ee Mwenyezi-Mungu, umeyakomboa maisha yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukanigombea magomvi ya roho yangu ukanikomboa na kunirudisha uzimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA umenitetea mateto ya nafsi yangu; Umeukomboa uhai wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulinitetea katika maneno yangu, ee Yawe, uliyakomboa maisha yangu.