Lamentations 3:59 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeona, Ee Mwenyezi Mungu, ubaya niliotendewa. Tetea shauri langu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umekuona kudhulumiwa kwangu, Ee Bwana; Unihukumie neno langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeona, Ee BWANA, ubaya niliotendewa. Tetea shauri langu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeona, Ee bwana, ubaya niliotendewa. Tetea shauri langu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umekuona kudhulumiwa kwangu, Ee BWANA; Unihukumie neno langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukaona, Bwana, jinsi nilivyopotolewa, ukayakata mashauri yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umekuona kudhulumiwa kwangu, Ee BWANA; Unihukumie neno langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliuona uovu niliotendewa, ee Yawe; uniamulie kwa wema maneno yangu.