Lamentations 3:61 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukayasikia, Bwana, matusi yao nayo yote, waliyoniwazia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umesikia matukano yao, ee Yawe, na mipango yao yote juu yangu.