Lamentations 3:62 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kile adui zangu wanachonong’ona na kunung’unikia dhidi yangu mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Midomo yao walioinuka juu yangu Na maazimio yao juu yangu mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kile adui zangu wanachonong'ona na kunung'unikia dhidi yangu mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kile adui zangu wanachonong’ona na kunung’unikia dhidi yangu mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Midomo yao walioinuka juu yangu Na maazimio yao juu yangu mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukayasikia, waniinukiao waliyoyasema wakinipigia mashauri mchana kutwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Midomo yao walioinuka juu yangu Na maazimio yao juu yangu mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno na mawazo ya waadui zangu siku nzima, ni juu ya kuniangamiza mimi.