Lamentations 3:64 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungu kadiri ya hayo matendo yao, kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwalipe kile wanachostahili, Ee Mwenyezi Mungu, kwa yale ambayo mikono yao imetenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawalipa malipo, Ee Bwana, Sawasawa na kazi ya mikono yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungu kadiri ya hayo matendo yao, kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwalipe kile wanachostahili, Ee BWANA, kwa yale ambayo mikono yao imetenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwalipe kile wanachostahili, Ee bwana, kwa yale ambayo mikono yao imetenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawalipa malipo, Ee BWANA, Sawasawa na kazi ya mikono yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungu kadiri ya hayo matendo yao, kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwalipishe, Bwana, matendo yao ukiwafanyizia, kama mikono yao ilivyofanya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawalipa malipo, Ee BWANA, Sawasawa na kazi ya mikono yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwalipize, ee Yawe, sawasawa na matendo yao, sawasawa na kazi ya mikono yao.