Lamentations 3:66 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafuatilie katika hasira na uwaangamize chini ya mbingu za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawafuatia kwa hasira, na kuwaangamiza Wasiwe tena chini ya mbingu za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawafuatia kwa hasira, na kuwaangamiza Wasiwe tena chini ya mbingu za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwakimbize kwa makali yako na kuwaangamiza, watoweke chini ya mbingu za Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawafuatia kwa hasira, na kuwaangamiza Wasiwe tena chini ya mbingu za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwafuatilie kwa hasira na kuwaangamiza toka katika dunia.