Lamentations 3:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, anakataa kupokea maombi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, nikilia na kuomba msaada, Huyapinga maombi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata ninapoita au kulia kwa ajili ya kupata msaada, anakataa kupokea maombi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, anakataa kupokea maombi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, nikilia na kuomba msaada, Huyapinga maombi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo nilie na kupiga yowe, maombo yangu huyazibia masikio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, nikilia na kuomba msaada, Huyapinga maombi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa ninaita na kuomba musaada anazuiza maombi yangu yasimufikie.