Lamentations 4:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme duniani hawakuamini wala wakazi wowote wa ulimwenguni, kwamba mvamizi au adui angeweza kuingia malango ya Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme wa dunia hawakuamini, wala mtu yeyote wa duniani, kwamba adui na watesi wangeweza kuingia kwenye malango ya Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wa dunia hawakusadiki, Wala wote wakaao duniani, Ya kwamba mtesi na adui wangeingia Katika malango ya Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme duniani hawakuamini wala wakazi wowote wa ulimwenguni, kwamba mvamizi au adui angeweza kuingia malango ya Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme wa dunia hawakuamini, wala hapakuwepo mtu ye yote wa duniani, kwamba adui na watesi wangeweza kuingia kwenye malango ya Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme wa dunia hawakuamini, wala mtu yeyote wa duniani, kwamba adui na watesi wangeweza kuingia kwenye malango ya Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme wa dunia hawakusadiki, Wala wote wakaao duniani, Ya kwamba mtesi na adui wangeingia Katika malango ya Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme duniani hawakuamini wala wakazi wowote wa ulimwenguni, kwamba mvamizi au adui angeweza kuingia malango ya Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafalme wa nchi nao wote wakaao humu ulimwenguni kwao hakuwako aliyeitikia kwamba: Malangoni mwa Yerusalemu ataingia ausongaye au adui ye yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wa dunia hawakusadiki, Wala wote wakaao duniani, Ya kwamba mtesi na adui wangeingia Katika malango ya Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme katika dunia hawakuamini wala wakaaji wowote wa ulimwengu, kwamba mwangamizaji na adui wangeweza kuingia katika milango ya Yerusalema.