Lamentations 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliwapigia kelele wakisema: “Tokeni, nendeni zenu enyi mlio najisi! Tokeni, tokeni, msiguse chochote.” Hivyo wakawa wakimbizi na kutangatanga; watu wa mataifa walitamka: “Hawa hawatakaribishwa kukaa kwetu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi! Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!” Wanapokimbia na kutangatanga, watu miongoni mwa mataifa wanasema, “Hawawezi kukaa hapa zaidi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu waliwapigia kelele, Ondokeni, Uchafu, Ondokeni, ondokeni, msiguse; Walipokimbia na kutanga-tanga, watu walisema kati ya mataifa, Hawatakaa hapa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliwapigia kelele wakisema: “Tokeni, nendeni zenu enyi mlio najisi! Tokeni, tokeni, msiguse chochote.” Hivyo wakawa wakimbizi na kutangatanga; watu wa mataifa walitamka: “Hawa hawatakaribishwa kukaa kwetu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliwapigia kelele wakisema, “Ondokeni! Ninyi ni najisi! Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!” Walipokimbia na kutangatanga huko na huko, watu miongoni mwa mataifa walisema, “Hawawezi kukaa hapa zaidi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi! Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!” Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko, watu miongoni mwa mataifa wanasema, “Hawawezi kukaa hapa zaidi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu waliwapigia kelele, Ondokeni, Uchafu, Ondokeni, ondokeni, msiguse; Walipokimbia na kutangatanga, watu walisema kati ya mataifa, Hawatakaa hapa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliwapigia kelele wakisema: “Tokeni, nendeni zenu enyi mlio najisi! Tokeni, tokeni, msiguse chochote.” Hivyo wakawa wakimbizi na kutangatanga; watu wa mataifa walitamka: “Hawa hawatakaribishwa kukaa kwetu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwondokeeni mchafu! Ndivyo, watu walivyotangaza mbele yao. Ondokeni! Ondokeni! Msiwaguse! Walipopiga mbio na kutangatanga hivyo, watu wakasema nako kwa wamizimu: Wasikae tena kuwa wageni wetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu waliwapigia kelele, Ondokeni, Uchafu, Ondokeni, ondokeni, msiguse; Walipokimbia na kutanga-tanga, watu walisema kati ya mataifa, Hawatakaa hapa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliwapigia kelele wakisema: Mutoke, enyi munaokuwa wachafu! Mutoke! Mutoke! Musiguse kitu chochote. Hivyo wakakuwa wakimbizi na kutangatanga; watu wa mataifa walisema: Hawa hawatakaribishwa kukaa kwetu!