Lamentations 4:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwatawanya, wala hatawajali tena. Makuhani hawatapata tena heshima, wazee hawatapendelewa tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu mwenyewe amewatawanya; hawaangalii tena. Makuhani hawaoneshwi heshima, wazee hawakubaliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasira ya Bwana imewatenga, Yeye hatawaangalia tena; Hawakujali nafsi za wale makuhani, Hawakuwaheshimu wazee wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwatawanya, wala hatawajali tena. Makuhani hawatapata tena heshima, wazee hawatapendelewa tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA mwenyewe amewatawanya; hawaangalii tena. Makuhani hawaonyeshwi heshima, wazee hawakubaliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana mwenyewe amewatawanya; hawaangalii tena. Makuhani hawaonyeshwi heshima, wazee hawakubaliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasira ya BWANA imewatenga, Yeye hatawaangalia tena; Hawakujali nafsi za wale makuhani, Hawakuwaheshimu wazee wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwatawanya, wala hatawajali tena. Makuhani hawatapata tena heshima, wazee hawatapendelewa tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho ya Bwana yenye ukali yakawatenga, naye hatawatazama tena; kwani hawakuwaheshimu watambikaji, wala wazee hawakuwahurumia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasira ya BWANA imewatenga, Yeye hatawaangalia tena; Hawakujali nafsi za wale makuhani, Hawakuwaheshimu wazee wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe mwenyewe aliwatawanya, wala hatawajali tena. Makuhani hawaheshimiwi tena, wazee hawapendelewi tena.