Lamentations 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walifuatilia hatua zetu, tukashindwa kupita katika barabara zetu. Siku zetu zikawa zimetimia; mwisho wetu ukawa umefika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walituvizia katika kila hatua hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu. Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia, kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanatuvizia hatua zetu, Hata hatuwezi kwenda katika njia zetu; Mwisho wetu umekaribia, siku zetu zimetimia; Maana mwisho wetu umefika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walifuatilia hatua zetu, tukashindwa kupita katika barabara zetu. Siku zetu zikawa zimetimia; mwisho wetu ukawa umefika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walitunyemelea katika kila hatua kwa hiyo hatukuweza kutembea katika barabara zetu. Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia, kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walituvizia katika kila hatua hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu. Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia, kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanatuvizia hatua zetu, Hata hatuwezi kwenda katika njia zetu; Mwisho wetu umekaribia, siku zetu zimetimia; Maana mwisho wetu umefika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walifuatilia hatua zetu, tukashindwa kupita katika barabara zetu. Siku zetu zikawa zimetimia; mwisho wetu ukawa umefika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakazinyatia nyayo zetu, tusiweze kwenda katika barabara zetu; mwisho wetu uko karibu, siku zetu zimetimia, kwani mwisho wetu umefika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanatuvizia hatua zetu, Hata hatuwezi kwenda katika njia zetu; Mwisho wetu umekaribia, siku zetu zimetimia; Maana mwisho wetu umefika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walifuatilia hatua zetu, tukashindwa kupita katika barabara zetu. Mwisho wetu ulikaribia, siku zetu zilitimia, mwisho wetu ulifika.