Lamentations 4:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliotufuatia walikuwa wepesi kuliko tai, walitukimbiza milimani, walituvizia huko nyikani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliotufuatia walikuwa wepesi kuliko tai angani; walitusaka juu milimani na kutuvizia jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliotufuatia ni wepesi Kuliko tai za mbinguni; Hao walitufuatia milimani, Nao walituotea jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliotufuatia walikuwa wepesi kuliko tai, walitukimbiza milimani, walituvizia huko nyikani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliotufuatia walikuwa wepesi kuliko tai katika anga; walitusaka juu milimani na kutuvizia jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliotufuatia walikuwa wepesi kuliko tai angani; walitusaka juu milimani na kutuvizia jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliotufuatia ni wepesi Kuliko tai za mbinguni; Hao walitufuatia milimani, Nao walituotea jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliotufuatia walikuwa wepesi kuliko tai, walitukimbiza milimani, walituvizia huko nyikani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watukimbizao ni wepesi kuliko tai wa mbinguni, wakatufukuza nako milimani juu na kutuvizia nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliotufuatia ni wepesi Kuliko tai za mbinguni; Hao walitufuatia milimani, Nao walituotea jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliotufuatilia walikuwa wepesi kuliko tai, walitukimbiza kwenye milima walituvizia katika jangwa.