Lamentations 4:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata mbwamwitu huwa na hisia za mama na kuwanyonyesha watoto wao; lakini watu wangu wamekuwa wakatili, hufanya kama mbuni nyikani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata mbweha hutoa matiti yao kunyonyesha watoto wao, lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma kama mbuni jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata mbwa-mwitu hutoa matiti, Huwanyonyesha watoto wao; Binti ya watu wangu amekuwa mkali, Mfano wa mbuni jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata mbwamwitu huwa na hisia za mama na kuwanyonyesha watoto wao; lakini watu wangu wamekuwa wakatili, hufanya kama mbuni nyikani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata mbweha hutoa matiti yao kunyonyesha watoto wao, lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma kama mbuni katika jangwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata mbweha hutoa matiti yao kunyonyesha watoto wao, lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma kama mbuni jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata mbwamwitu hutoa matiti, Huwanyonyesha watoto wao; Binti ya watu wangu amekuwa mkali, Mfano wa mbuni jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata mbwamwitu huwa na hisia za mama na kuwanyonyesha watoto wao; lakini watu wangu wamekuwa wakatili, hufanya kama mbuni nyikani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbwa wa mwitu nao hutoa maziwa ya kuwanyonyesha watoto wao, lakini wanawake wao walio ukoo wangu wamegeuka, wasione uchungu kama mbuni wa nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata mbwa-mwitu hutoa matiti, Huwanyonyesha watoto wao; Binti ya watu wangu amekuwa mkali, Mfano wa mbuni jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata mbweha wanatoa maziwa, na kuwanyonyesha watoto wao; lakini watu wangu wamekuwa wabaya, wanafanya kama mbuni katika jangwa.