Lamentations 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliojilisha vyakula vinono sasa wanakufa njaa barabarani. Waliolelewa na kuvikwa kifalme sasa wanafukua kwa mikono kwenye majaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliokula vyakula vya kifahari ni maskini barabarani. Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau sasa wanalalia majivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale waliokula vitu vya anasa Wameachwa peke yao njiani; Wale waliokuzwa kuvaa nguo nyekundu Wakumbatia jaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliojilisha vyakula vinono sasa wanakufa njaa barabarani. Waliolelewa na kuvikwa kifalme sasa wanafukua kwa mikono kwenye majaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliokula vyakula vya kifahari ni maskini barabarani. Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau sasa wanalala kwenye malundo ya majivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliokula vyakula vya kifahari ni maskini barabarani. Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau sasa wanalalia majivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale waliokula vitu vya anasa Wameachwa peke yao njiani; Wale waliokuzwa kuvaa nguo nyekundu Wakumbatia jaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliojilisha vyakula vinono sasa wanakufa njaa barabarani. Waliolelewa na kuvikwa kifalme sasa wanafukua kwa mikono kwenye majaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliokula vya urembo wanazimia barabarani kwa njaa, waliokuzwa na kuvikwa mavazi mororo ya kifalme sasa wanalala jaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale waliokula vitu vya anasa Wameachwa peke yao njiani; Wale waliokuzwa kuvaa nguo nyekundu Wakumbatia jaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale waliokula vyakula vinono wanakufa na njaa katika barabara. Waliolelewa na kuvalishwa namna ya kifalme wanafukua kwa mikono kwenye yalala.