Lamentations 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wangu wamepata adhabu kubwa kuliko watu wa mji wa Sodoma mji ambao uliteketezwa ghafla bila kuwa na muda wa kunyosha mkono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adhabu ya watu wangu ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, ambayo ilipinduliwa ghafula wala hapakuwa na mkono wa msaada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana uovu wa binti ya watu wangu ni mkubwa Kuliko dhambi ya Sodoma, Uliopinduliwa kama katika dakika moja, Wala mikono haikuwekwa juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wangu wamepata adhabu kubwa kuliko watu wa mji wa Sodoma mji ambao uliteketezwa ghafla bila kuwa na muda wa kunyosha mkono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adhabu ya watu wangu ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, ambayo ilipinduliwa ghafula bila kuwepo mkono wa kumsaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adhabu ya watu wangu ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, ambayo ilipinduliwa ghafula bila kuwepo mkono wa msaada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana uovu wa binti ya watu wangu ni mkubwa Kuliko dhambi ya Sodoma, Uliopinduliwa kama katika dakika moja, Wala mikono haikuwekwa juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wangu wamepata adhabu kubwa kuliko watu wa mji wa Sodoma mji ambao uliteketezwa ghafla bila kuwa na muda wa kunyosha mkono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, walizozikora wazaliwa wa ukoo wangu, ni kubwa kuliko makosa ya Sodomu uliogeuzwa kwa kitambo kimoja kuwa si mji tena, lakini haikuwako mikono ya watu iliyougusa tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana uovu wa binti ya watu wangu ni mkubwa Kuliko dhambi ya Sodoma, Uliopinduliwa kama katika dakika moja, Wala mikono haikuwekwa juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kosa la watu wangu lilikuwa kubwa kuliko zambi za watu wa Sodoma, muji ambao uliteketezwa kwa rafla bila kuwa na muda wa kunyoosha mukono.