Lamentations 4:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vijana wa Siyoni walikuwa safi kuliko theluji, walikuwa weupe kuliko maziwa. Miili yao ilikuwa myekundu kama matumbawe, uzuri wa viwiliwili vyao kama johari ya rangi ya samawati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakuu wao walikuwa wameng’aa kuliko theluji na weupe kuliko maziwa, miili yao ilikuwa myekundu kuliko marijani, kuonekana kwao kama yakuti samawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wake walikuwa safi kuliko theluji, Walikuwa weupe kuliko maziwa; Miili yao, walikuwa wekundu kuliko marijani, Na umbo lao kama yakuti samawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vijana wa Siyoni walikuwa safi kuliko theluji, walikuwa weupe kuliko maziwa. Miili yao ilikuwa myekundu kama matumbawe, uzuri wa viwiliwili vyao kama johari ya rangi ya samawati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakuu wao walikuwa wameng'aa kuliko theluji na weupe kuliko maziwa, miili yao ilikuwa myekundu kuliko marijani, kuonekana kwao kama yakuti samawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakuu wao walikuwa wameng’aa kuliko theluji na weupe kuliko maziwa, miili yao ilikuwa myekundu kuliko marijani, kuonekana kwao kama yakuti samawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wake walikuwa safi kuliko theluji, Walikuwa weupe kuliko maziwa; Miili yao, walikuwa wekundu kuliko marijani, Na umbo lao kama yakuti samawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vijana wa Siyoni walikuwa safi kuliko theluji, walikuwa weupe kuliko maziwa. Miili yao ilikuwa myekundu kama matumbawe, uzuri wa viwiliwili vyao kama johari ya rangi ya samawati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wao waling'aa kuliko theluji, wakawa weupe kuliko maziwa; miili yao ilikuwa miekundu kuliko marijani, sura zao zilikuwa kama za jiwe la safiro;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wake walikuwa safi kuliko theluji, Walikuwa weupe kuliko maziwa; Miili yao, walikuwa wekundu kuliko marijani, Na umbo lao kama yakuti samawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vijana wa Sayuni walikuwa safi kuliko teluji, walikuwa weupe kuliko maziwa. Miili yao ilikuwa myekundu kuliko mawe ya matumbawe, uso wao kama jiwe la rangi ya samawi.