Lamentations 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kutokana na fadhaa ya njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuu; Kwa sababu ya hari ya njaa ituteketezayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ngozi yetu ina joto kama jiko la kuokea, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuri; Kwa sababu ya ukali wa njaa ituteketezayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ngozi zetu ni zenye moto kama wa tanuru kwa kuteketezwa na njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuu; Kwa sababu ya hari ya njaa ituteketezayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngozi zetu zinawaka moto kama furu, kwa sababu ya njaa inayotuchoma.