Lamentations 5:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huwatia jeuri wanawake katika Sayuni; Na mabikira katika miji ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanawake katika Sayuni wanashikwa kwa nguvu; Na mabikira katika miji ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawake waliokuwamo Sioni waliwakorofisha, nao wasichana waliokuwako katika nchi za Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huwatia jeuri wanawake katika Sayuni; Na mabikira katika miji ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wetu wanatendewa kwa kinguvu katika Sayuni, na wabinti wetu katika miji ya Yuda.